Dodoma FM

Wafanyakazi  wahanga magonjwa ya afya ya akili sehemu za kazi

11 October 2024, 7:24 pm

Wanyakazi wanatajwa kuwa hatarini kupata  magonjwa ya afya ya akili kutokana na mazingira ya kazi au shughuli wanazofanya.

Katibu Mkuu Msaidizi Chama Wataalamu wa Saikolojia  (TAPA) Bwn. Albano Michael  pamoja Mwenyekiti Kanda ya Kati Magharibi  Bwn. Shabani Waziri wamebainisha hayo katika mazungumzo na Mtangazaji wa Dodoma TV, Mariam Matundu .

Pichani Mwenyekiti Kanda ya Kati Magharibi  Chama Wataalamu wa Saikolojia  (TAPA). Shabani Waziri
Mazungumzo
Katibu Mkuu Msaidizi Chama Wataalamu wa Saikolojia  (TAPA) Bwn. Albano Michael
Mazungumzo