Dodoma FM

Ulinzi na usalama waimarika Mkonze kudhibiti uhalifu, mauaji

9 October 2024, 6:26 pm

Hali ya ulinzi na usalama imeimarika katika kata ya Mkonze kufuatia matukio kadhaa ya mauaji yaliyotokea katika kata hiyo kwa nyakati tofauti miiezi ya hivi karibuni.

Akiongea na Dodoma TV, Mwenyekiti wa Mtaa wa Bwawani  katika kata hiyo Bwn. Sospeter Abel  amebainisha hatua waliyoichukua ili kudhibiti mauaji.

Pichani Mwenyekiti wa Mtaa wa Bwawani kata ya Mkonze Bw. Sospeter Abel 
Sauti ya Bwn. Sospeter Abel 

Aidha wananchi wa kata hiyo wamesema kwamba  hali ya ulinzi na usalama vimeimarika kwa sasa baada ya hatua walizochukua katika  kudhibiti  matukio ya mauaji yanayojitokeza mara kwa mara hapo awali.

Pichani mwanachi Kata ya Mkonze akielezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo kwa sasa
Sauti za wananchi
Pichani mwanachi Kata ya Mkonze akielezea hali ya ulinzi na usalama ilivyo kwa sasa