Dodoma FM

Elimu zaidi ya VVU yahitajika kwa Vijana

30 September 2024, 7:10 pm

Na Yussuph Hassan.

Vijana Jijini Dodoma wameomba elimu iendelee kutolewa ili kukumbusha jamii juu ya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.

Wakizungumza nyakati tofauti na Dodoma TV wakazi hao wamesema kuwa kwa kufanya hivyo itasaidia kupunguza maambukizi mapya ya VVU.

Kijana mkazi wa Dodoma
Sauati za vijana
Kijana mkazi wa Dodoma

Itakumbuka kuwa wataalam wa afya wanashauri jamii kuwa na desturi ya kupima afya zao mara kwa mara na kutumia kwa usahihi dawa za kufubaza virusi vya ukimwi Arvs pindi ukibainika kuwa na maambukizi.

Kijana mkazi wa Dodoma