Dodoma FM

Vijana tumieni  vipaji  kutatua changamoto ya ajira

27 September 2024, 8:42 pm

Na Steven Noel.

Changamoto  kubwa inayowakabili vijana kwa sasa ni suala la upatikanaji wa ajira. Kutokana na changamoto hiyo,  baadhi ya vijana wamefikiria njia mbadala ya kutumia vipaji walivyonavyo ili kujipatia kipato ili kuweza kujikimu kimaisha.

Hapa tumsikie moja ya kijana kutoka Wilayani Mpwapwa ambaye amejikita katika usukaji wa nywele  kwa wanawake.

Baadhi ya wanawake amabo ni wateja  wake wamepongeza kijana huyo kwa  uthubutu  aliouonesha kwa kuona fursa katika suala la usukaji wa nywele kwa wanawake.

Pichani ni moja ya mteja wa kijana msuka nywele
Sauti za wananchi
Pichani ni moja ya mteja wa kijana msuka nywele

Kijana akionesha ujuzi alionao wa kushona mikoba ya aina mbali mbali