Dodoma FM
Mikopo asilimia 10 ni salama kwa wajasiriamali
23 September 2024, 8:43 pm
Na Steven Noel.
Wajasiriamali Wilayani Mpwapwa wameshauriwa kuwa makini wakati wa kutafuta na kuomba huduma za mikopo kutoka katika taasisi mbalimbali ili kuepukana na chamgamoto za marejesho zinazoweza kujitokeza kuhusiana na masharti ya mikopo hiyo.
Aidha baadhi ya wakazi wilayani Mpwapwa wanaelezea jinsi ya wanavyoweza kutumia pesa za mkopo Pamoja na changamoto zinazojitokeza kutokana na huduma za mikopo wanazopata toka kweye taasisi mbalimbali.