Dodoma FM

Mavunde aweka alama ya kudumu Dodoma

20 September 2024, 7:51 pm

Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma amabyo in umr iwa miaka 104  inauwezo wa kuhudumia wagonjwa zaidi ya 1,500 kwa siku moja imekuwa na changamoto ya kuwa na miundombiny ya jengo la kusubiria wangonjwa kwa wananchi.

Na Mindi Joseph

Wananchi mkoani Dodoma wamempongeza Mbunge  wa Jimbo la Dodoma Mh. Anthony Mavunde kuzindua zoezi la ujenzi wa jengo la kisasa la mapumziko la wananchi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.

Sauti za wananchi

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Sara Ludoviki anasema kwa sasa ndugu wa Wagonjwa hasa wanaotoka nje ya jii la Dodoma, wanapata changamoto ya kukosa sehemu ya kukaa wakisubiri ndugu zao walioko  kwenye matibabu.

Kaimu Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, Dkt. Sara Ludoviki
Sauti ya Dkt. Sara Ludoviki
Mbunge  wa Jimbo la Dodoma Mh. Anthony Mavunde

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Anthony Mavunde anaeleza sababu ya kufikia uamuzi huo wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo.

Sauti ya Mh. Antonu Mvunde
Mbunge  wa Jimbo la Dodoma Mh. Anthony Mavunde akishriki katika zoezi la uzinnduzi wa jengo la mapumziko katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma.