Dodoma FM

Miundombinu wezeshi yahitajika Mahitaji Maalumu kushiriki uchaguzi  Serikali ya Mtaa

11 September 2024, 7:36 pm

Bi. Ruth Udamo

Na Steven Noel. Watu wenye mahitaji maluum Wilayani Mpwapwa Mkoani Dodoma wameiomba Serikali kuwapatia vifaa saidizi kwenye zoezi la upigaji kura Serikali ya Mtaa. Wamesema hayo kwenye ushiriki wa utoaji elimu ya mpiga kura.  

Sauti ya Bi. Ruth Udamo
Afisa uchaguzi Wilayani Mpwapwa Bwn, Thomas Magari

Afisa uchaguzi Wilayani Mpwapwa Bwn, Thomas Magari amesema kila mtu ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kwa kuzingatia sifa za sheria ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Sauti ya Bwn, Thomas Magari

Washiriki wakati wa utoaji elimu ya mpiga kura