Dodoma FM

Zaidi ya wakulima 290 kunufaika na skimu ya umwagiliaji Dodoma

11 September 2024, 7:37 pm

Zaidi ya wakulima 290 wanatarajia kunufaika kupitia Uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali II Mkoani Dodoma.

Na Mindi Joseph Zaidi ya wakulima 290 wanatarajia kunufaika kupitia uwekezaji mkubwa katika shamba la wananchi CHABUMA lililopo Chinangali II Mkoani Dodoma ambapo utekelezaji wa skimu hiyo umefikia asilimia 90. Shamba hili la zabibu lilianzishwa Mwaka 2008 kwa lengo la kupunguza umasikini kwa waanchi.

Sauti za wanachi

Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde anasema katika kukuza kilimo cha kisasa cha umwagiliaji,Serikali itajenga mabwawa makubwa 140, ambayo yatasadia nchi katika kuendeleza Sekta ya Kilimo.

Mhe. David Silinde
Sauti ya Mhe. David Silinde