Dodoma FM

Katiba na Sheria yazindua kituo cha huduma kwa mteja  

5 September 2024, 8:02 pm

Kituo hicho kinalenga kupokea taarifa za rushwa malalamiko na hoja kutoka kwa wananchi.

Katiba na Sheria yazindua kituo cha huduma kwa mteja  

Na Mindi Joseph . Wananchi Mkoani Dodoma wamepongeza kuzinduliwa kwa Kituo cha utoaji huduma kwa wateja kinacholenga kuwasikiliza wananchi na kutatua matatizo yao.

Sauti za wananchi

Kituo hicho kinalenga kupokea taarifa za rushwa malalamiko na hoja kutoka kwa wananchi.

Sauti ya Waziri wa Katiba na Sheria Professor Palamagamba Kabudi.

Huduma hii itawafikia wananchi wengi wasio na uwezo na kituo hicho kitahudumia wananchi kwa wigo mpana.

Sauti ya Bi Mary Lymo – Mkurugenzi wa Katiba na Ufuatiliaji