Dodoma FM

Mgogoro wa ardhi Zanka mbioni kutatuliwa

5 September 2024, 8:02 pm

Mbunge wa jimbo la bahi mh Kenneth Nolo mkoan Dodoma amehahidi kumaliza mgogoro wa ardhi unaowakabili wanachi wa kijij cha Zanka

Mgogoro wa ardhi Zanka mbioni kutatuliwa

Na Nazaeli Mkude

Mbunge wa jimbo la Bahi Mhe, Kenneth Nolo Mkoan Dodoma amehahidi kumaliza mgogoro wa ardhi baina ya wanachi wa kijij cha Zanka na jeshi.

Katika jitihada za kutatua mgooro huo, Mheshimiwa Kenneth Nolo amefanya ziara maalumu ya kuwatembelea wananchi hao na kudokeza kuwa changamoto hiyo imeshajadiliwa katika vikao vya mkoa ikishirikisha Waziri wa ulinzi ili kuhakikisha mgogoro huo unapatiwa ufumbuzi.

Sauti ya Mheshimiwa Keneth Nolo – Mbunge Bahi

Wananchi wa Kijiji cha Zanka wamedai haki ya umiliki wa maeneo hayo kwa madai kuwa wamekuwa katika maeneo hayo kwa miaka 35  lengo la kuanzisha makazi.  

Sauti za wanachi