Dodoma FM

DC Mpwapwa atoa wito JKT kumlinda Rais dhidi ya uhalifu mtandoni

5 September 2024, 8:03 pm

Kikosi 826 KJ wakati wa kuhitimisha mafunzo ya kijeshi Wilayani Mpwapwa

DC Mpwapwa atoa wito JKT kumlinda Rais dhidi ya uhalifu mtandoni

Na Steven Noel. Mkuu wa Wilaya ya Mheshimiwa Sophia Kizigo amewataka Wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT katika kikosi cha 826 KJ Mpwapwa amewataka wanajeshi hao kuhakikisha wanamlinda Rais wa Jamhuri ya  Muungano ya Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan dhidi ya uhalifu wa kimtandao wakati wa kuhitimisha mafunzo ya kikosi hicho Wilayani Mpwapwa.

Sauti ya Mkuu wa Wlaya Mpwapwa Sophia Kizigo

Aidha mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi Brigedia Justus Kita amesema kuwa mafunzo hayo yanamuandaa kijana kijana kuwa na uwezo wa kustahimili changamoto za maisha.

Sauti ya Brigedia Justus Kita

Mkuu wa kikos cha 826 KJ luten Kanali james maiko amewataka vijana hao kuyatumia mafunzo waliyoyapata kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya ukosefu wa ajira.

Sauti ya Mkuu wa Kikosi Luteni Kanali James Maiko