Upungufu wa walimu Chididimo wadidimiza elimu ya msingi
17 January 2024, 8:13 am
Ninini Mchakato wa serikali juu ya changamoto ya upungufu wa walimu katika shule hii.
Na Thadei Tesha.
Upungufu wa walimu katika shule ya msingi Chididimo iliyopo jijini Dodoma Imetajwa kama moja ya kikwazo kinacho sababisha wananfunzi kushindwa kusoma ipasavyo.
Hini shule ya msingi Chididimo ambapo ina jumla ya wanafunzi zaidi ya 600 lakini idadi ya walimu wanaofundisha katika shule hii ni watatu pekee.
wazazi wenye wanafunzi katika shule ya Msingi Chididimo wanasema kuwa hali hii ni kikwazo kwa wanafunzi katika kufanikisha azma ya kujifunza.
Kwa upande wake mwalimu mkuu wa shule hiyo anaeleza hali ilivyo katika suala la ujifunzaji shuleni hapo pamoja na hatua za kukabiliana na changamoto hiyo.
Lakini je majibu ya serikali juu ya suala hili ni yapi?mwalimu prisca Mayala ni Afisa elimu msingi jiji la Dodoma hapa anaeleza.