Dodoma FM
Mimba za utotoni zapungua nchini kwa 5%
7 November 2023, 12:34 pm
Dodoma ni miongoni mwa mikoa iliyofanikiwa kupunguza mimba za utotoni kwa kiwango kikubwa .
Na Mariam Matundu.
Ripoti ya utafiti wa afya ya uzazi na mtoto na viashiria vya malaria ya mwaka 2022 imeonesha Tanzania imefanikiwa kupunguza mimba za utotoni kutoka 27% mwaka 2015/2016 hadi 22%mwaka 2022.
Mariam Matundu amefanya mazungumzo na mkuu wa dawati la jinsia na watoto mkoa wa Dodoma Theresia Mdendemi na ameanza kumuuliza makoeo hayo ni mafanikio ya kampeniz za kuzungumza na watoto namna ya kujinda na ukatili?