Dodoma FM

Fahamu asili ya jina Dodoma

04/09/2023, 17:19

Picha ni kisima kilichotumika na watumwa kunywa maji kinachopatikana katika mtaa wa Kikuyu kilipo chuo cha St . John Jijini Dodoma . Picha na Yussuph Hassan.

Je ni kweli jina la Dodoma lilitokana  na tembo kudidimia katika eneo la Kikuyu kilipo chuo cha mtakatifu Yohana leo hii?