Dodoma FM

Recent posts

21/03/2021, 10:30

Marais wa nchi 10 kumuaga Magufuli Dodoma

Na ; Mariam Kasawa. Marais  zaidi ya 10 wa Mataifa mbalimbali Duniani wamethibitisha kuhudhuria shughuli ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli itakayofanyika kesho mjini Dodoma. Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk Hassan Abasi amesema hadi sasa ana orodha…

20/03/2021, 15:13

Ratiba ya kumuaga Hayati Dr, John Pombe Magufuli Mkoani Dodoma

Na; Rabiamen Shoo. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh, Binilith Mahenge amesema Mkoa wa  Dodoma umepewa heshima ya kumuaga Hayati Dr. John Pombe  Magufuli kutokana na mengi aliyo yafanya katika mkoa huu ikiwemo kuhamishia makao makuu mjini hapa. Akizungumza na…

20/03/2021, 10:11

Simanzi na Vilio vyatanda jijini Dar es salaam

Na, Mariam Kasawa. Maelfu ya wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Awamu ya Tano pamoja na viongozi wastaafu wa Serikali zilizopita wamefika Uwanja wa Uhuru kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Rais…

20/03/2021, 08:48

Ratiba ya kumuaga Hayati, Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Na, Mariam Kasawa. Ratiba ya kumuaga hayati Mh, Dkt John Pombe Magufuli yabadilika , Zanzibar nayo itapata nafasi ya kumuaga Kwa mujibu wa mabadiliko ya ratiba Hayati Dkt John Magufuli atazikwa tarehe 26 na si 25 iliyo kuwa imetangazwa hapo…

19/03/2021, 13:04

Masumbwi wanawake kuahirisha mpambano.

Na, Mariam Kasawa. Pambano la  masumbwi kwa Wanawake Queen of the Ring (‘Malkia wa Ulingoni) limeahirishwa kupisha kipindi cha Maombolezo. Mratibu wa Habari wa wakala wa Michezo Nchini wa  Peaktime Joyce Mbogo amesema  wamepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo…

19/03/2021, 12:30

Wanawake wategemea ardhi kujipatia kipato

Na, Alfred Bulahya. Imeelezwa kuwa wanawake zaidi ya asilimia 50% wanategemea ardhi kwaajili ya kipato chao, Kauli hiyo imetolewa na Kamishna Ustawi wa jamii Dkt Naftali Ng’ondi jijini Dodoma wakati akifungua mkutano uliokuwa ukifanyika kwa njia ya mtandao ambao umehusisha…

19/03/2021, 06:32

Taasisi zisizo za kiserikali zamlilia Magufuli

Na, Alfred Bulahya. Taasisi isiyo ya Kiserikali ya MEFADA kwa kushirikiana na YCR (Youth and Community Rehabilitation) zinazojishughulisha na suala la kupambana na dawa za kulevya na ukimwi, imeitaka jamii kuendelea kuenzi mambo muhimu yaliyofanywa na aliyekuwa rais wa Jamhuri…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger