Dodoma FM
Dodoma FM
2 July 2021, 11:53
Na; Benard Filbert. Kukatika kwa maji kila mara katika mtaa wa miganga kata ya Mkonze mkoani Dodoma imetajwa kuwa kero kwa wakazi wa mtaa huo hali inayowalazimu kutumia maji ya visima ambayo sio salama kiafya. Hayo yameelezwa na wakazi wa…
2 July 2021, 11:19
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa kukosekana kwa taarifa na uhamasishaji kwa watu wenye ulemavu kujiunga katika vikundi ni moja ya sababu inayo pelekea kundi hilo kutopata mikopo kwa wingi inayotolewa na halmashauri. Hayo yamesemwa namwenyekiti wa chama cha watu wenye ulemavu wilaya ya Kondoa bwana Abedi Dutu ambapo amesema uhamasishaji kwa watu wenye ulemavu wanaoishi maeneo ya vijijini kuomba mikopo upo chini hivyo wengi wao hukosa fursa…
1 July 2021, 14:22
Na; Yussuph Hans. Moja ya lugha iliyoenea katika Mataifa ya Afrika ni Kiswahili kutokana jitihada mbalimbali zinazofanyika katika kukuza Lugha hiyo na haina budi kila Mtanzania kujivunia Lugha ya Kiswahili. Hayo yamesemwa na Kaimu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili Tanzania…
1 July 2021, 12:48
Na; Victor Chigwada. Mwitikio mdogo wa elimu katika kata ya Farkwa Wilayani Chemba ni changamoto inayopelekea wanafunzi kushindwa kujiunga na masomo ya sekondari kwa shinikizo la wazazi. Baadhi ya wazazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema ni kweli suala…
1 July 2021, 11:07
Na;Mindi Joseph . Matumizi ya kuni na Mkaa huchangia miti mingi kukatwa na kusababisha uharibifu wa mazingira. Kwa mujibu wa ripoti ya Hali ya Upatikanaji wa Nishati iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu mwaka 2016 inaonyesha kuwa asilimia 88.2…
1 July 2021, 10:54
Na;Yussuph Hans. Licha ya jitihada mbalimbali zinazofanyika kuleta usawa Nchini bado kuna Changamoto kwa wanawake katika kusomea Masomo ya Sayansi pamoja na kupewa fursa katika Miradi ya maendeleo ukilinganisha na Wanaume. Akizungumza na Taswira ya habari Afisa Programu kutoka Mtandao…
1 July 2021, 06:20
Na; Benard Filbert. Afya za Wakazi wa Mtaa wa Lugala jijini Dodoma zipo hatarini kutokana na kutumia vyanzo vya maji pamoja na wanyama. Uhaba wa upatikanaji wa huduma ya maji katika mtaa huo ndio imepelekea wakazi hao kufanya hivyo.Wakizungumza na…
29 June 2021, 14:09
Na ;Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya Handali iliyopo Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wameiomba serikali kuwapelekea wataalamu wa musuala ya madini ili kuwapatia elimu ya uchimbaji itakayo wawezesha kuchimba kwa ufanisi. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi…
29 June 2021, 12:56
Na;Yussuph Hans. Tanzania imezindua mpango wa tatu wa Maendeleo kwa Taifa wa miaka mitano 2021 – 2026. Mpango wa tatu wa maendeleo ya Taifa umegharimu Tsh Trilion 114.8, sekta binafsi ikichangia Tsh Trilion 40.6 huku sekta ya umma ikichangia Tsh…
29 June 2021, 12:38
Na;Mindi Joseph. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amezitaka mamlaka za serikali za mitaa na Mikoa kusimamia utekelezaji wa kanuni za usimamizi wa mazingira katika udhibiti wa kelele na mitetemo ili kulinda afya za…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-