Dodoma FM
Dodoma FM
4 May 2021, 9:02 am
Na; Thadey Tesha. Katika kuondokana na wimbi la watoto wanaojihusisha na shughuli za biashara wakiwa na umri mdogo jamii imeshauriwa kuacha mara moja vitendo vya kuwatumikisha watoto wadogo katika shughuli za biashara kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria. Akizungumza…
3 May 2021, 1:37 pm
Na; Mindi Joseph Imeelezwa kuwa elimu ya kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto imechangia wengi kuripoti hususani watoto wa kike katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Taswira ya Habari imezungumza Askari polisi wa Dawati la jinsia…
3 May 2021, 10:29 am
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ili kuongeza ufahamu kuhusu masuala ya afya ya uzazi kwa vijana ni muhimu kuongeza wigo wa utoaji elimu hiyo pamoja na mazingira rafiki yanayomuwezesha kijana kupata elimu hiyo. Debora Frenk ni afisa mradi wa EPIC…
3 May 2021, 9:59 am
Na ;Afred Bulahya. Wakazi wa mtaa wa Kawawa kata ya Mbalawala jijini Dodoma wameombwa kuchangia kiasi kidogo cha pesa kitakacho wezesha zoezi la uboreshaji wa maabara ya zahanati ya Lugala. Wito huo umetolewa na mwenyekiti wa kamati ya afya ya…
3 May 2021, 7:05 am
Na; James Justine KATIBU Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk. Charles Msonde amesema, takribani wanafunzi 90,025 wameanza kufanya mtihani wa Kidato cha Sita kuanzia leo Jumatatu tarehe 3 hadi 25 Mei 2021. Dk. Msonde ametoa taarifa hiyo…
30 April 2021, 1:22 pm
Na; Alfred Bulaya. Mkutano mkuu maalum wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambao umefanyika jijini Dodoma hii leo, umemchagua Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa Mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Rais Samia Suluhu Hassan ameteuliwa na…
30 April 2021, 12:59 pm
Na; Salim Kimbesi. Imeelezwa kuwa kwa sasa bei ya mchele imeshuka sana sokoni kutokana na zao hilo kupatikana kwa wingi. Hayo yamesemwa na wafanyabiashara wa mchele walipo kuwa wakizungumza na Dodoma fm ambapo wamesema mchele kwa sasa unapatikana kwa wingi…
30 April 2021, 12:01 pm
Na; Mariam Matundu. Tume ya kudhibiti Ukimwi nchini TACAIDS chini ya uratibu wa masuala ya ukimwi kwa mtazamo wa kijinsia imetoa mafunzo kwa wasichana na wanawake wanaoishi na virusi vya ukimwi ili kuwapatia utambuzi wa haki zao za msingi katika maeneo yao. Akizungumza…
30 April 2021, 9:36 am
Na; Benard Filbert. Shirika la uhifadhi wa mazingira Duniani (WWF) limeishukuru serikali ya Tanzania kwa kutoa ushirikiano katika kutekeleza majukumu ya utunzaji wa mazingira nchini hali ambayo imesaidia kuboresha mazingira kwa kiasi kikubwa. Hayo yamesemwa na Afisa mawasiliano kutoka shirika…
30 April 2021, 8:57 am
Na; Mariam Kasawa. Wakazi wa mtaa wa Iyumbu Jijini Dodoma wameutaka uongozi wa mtaa huo kutoa ufafanuzi wa makato ya asilimia 45 wanazokatwa na jiji kwa kila kiwanja wanachopewa baada ya upimaji wa hivi karibuni bila kujali kipo kwenye makazi…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-