Dodoma FM
Dodoma FM
9 August 2021, 13:46
Na; Fedrick Lukasho. Wananchi wa kata ya Nkuhungu katika mitaa ya Mnyakongo ,Bochela, Mtube na Salama Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutatua changamoto ya maji kutuama kwa muda mrefu katika makazi yao. Wakizungumza na Dodoma FM Radio kwa nyakati tofauti baadhi…
9 August 2021, 13:31
Na ;Victor Chigwada. Wananchi wa Kata ya hogoro wanakabiliwa na changamoto ya uhaba wa wodi za wazazi pamoja na wahudumu afya na kuomba wadau kwa kushirikiana na serikali kuwaasaiidia kutatua adha hiyo. Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya…
9 August 2021, 13:08
Na; Benard Filbert. Diwani wa kata ya Mtanana wilaya ya Kongwa Bwana Joel Musa ameishukuru serikali kuridhia kukarabati miundombinu ya barabara hali itakayochagiza maendeleo katika kata hiyo. Amesema hayo wakati akizungumza na taswira ya habari kuhusu kuanza kutekelezwa kwa ukarabati…
9 August 2021, 12:44
Na,Mhindi Joseph Dodoma Tanzania Tanzania ni Miongoni mwa nchi inayokabiliwa na mabadiliko ya tabianchi kwani Asilimia 1 ya pato la Taifa inatajwa kupotea kila mwaka kutokana na mabadiliko ya tabia nchi huku ikikadiriwa kuwa watu milioni 1.6 wanaoishi ukanda wa…
6 August 2021, 12:11
Na; Benard Filbert. Jamii inashauriwa kutumia teknolojia za kisasa katika matumizi ya kupika nyumbani na kuepuka kuharibu mazingira kitu ambacho ni hatari katika mabadiliko ya tabia ya Nchi. Hayo yameelezwa na Marry Stanley kutokea taasisi ya Tanzania Traditional Energy Development…
6 August 2021, 11:50
Na; Shani Nicolous. Wito umetolewa kwa madiwani wa kata zote za Wilaya ya Dodoma mjini kuyaenzi mafanikio waliyoyakuta katika jiji na namna yakuendeleza uchumi hasa katika zao la zabibu. Wito huo umetolewa hivi karibuni na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma…
6 August 2021, 09:59
Na;Mindi Joseph . Ikiwa ni Maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji Maziwa ya mama Duniani asilimia 31.8 ya watoto nchini wametajwa kuwa na udumavu kwa mujibu wa utafiti wa hali ya lishe mwaka 2018. Hayo yamebainishwa leo na Mratibu wa Lishe…
4 August 2021, 12:10
Na; Mariam Matundu. Wazee nchini wameshauriwa kutumia fursa ya chanjo dhidi ya ugonjwa unaosababishwa na Virusi vya Korona UVIKO 19 ili kuimarisha kinga ya miili yao kipindi hiki ambacho Serikali imewapa kipaumbele. Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya…
4 August 2021, 10:46
Na;Benard Filbert. Jamii imeombwa kutokufumbia macho na badala yake kufichua vitendo vya mimba za utotoni ili kuepusha kumkosesha haki za msingi mtoto wa kike. Wito huo umetolewa na afisa maendeleo kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dodoma Bi Onalatha…
4 August 2021, 10:14
Na;Yussuph Hans. Wakazi Mkoani Dodoma wametakiwa kuhakikisha watumia vyema fursa ya kupata chanjo ya Uviko-19 na kupuuzia taarifa za upotoshaji kutoka katika mitandao ya kijamii na za mtaani. Wito huo umetolewa mapema leo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mh…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-