Recent posts
15 November 2024, 7:41 pm
Senyemule mgeni rasmi Dodoma Jogging Club Day
Na Leonarld Mwacha. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Dodoma Jogging Club Day katika viwanja Sheli Complex jijini Dodoma. Koplo Innosensia Maaswawe amesema kuwa ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma imeandaa mbio…
15 November 2024, 7:40 pm
Mtindo wa maisha chanzo cha magonjwa yasiyoambukiza
Na Noel Steven. Mtindo wa maisha umetajwa kuwa ni moja ya chanzo kwa magonjwa yasiyoamabukiza kwa jamii. Dkt John Simon mtaalamu wa magonjwa anaeleza jinsi mtindo wa maisha ulivyokuwa na athari za kiafya kwa jamii pamoja na Eliwasa Ndau Afisa…
15 November 2024, 7:40 pm
Bahi walia kero ya maji chumvi
Na. Anselima Komba. Wananchi Wilayani Bahi Wameiomba Serikali kutimiza ahadi ya kutatuliwa kwa kero ya maji chumvi kwa kuwaunganishai maji baridi kutoka katika kata ya Ibihwa. Baadhi ya wanachi wanasema Serikali kupitia wizara ya maji iliwaahidi kutatua adha ya maji…
15 November 2024, 7:40 pm
Jifunze kumlinda mtoto dhidi ya ukatili
Na Lilian Leopold Jamii inakabiliwa na tatizo la uelewa kufahamu vitendo vya ukatili ambavyo mtoto hapaswi kufanyiwa. Hidaya Kaonga, Wakili na Mratibu wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu Mkoani Dodoma amebainisha mambo ambavyo yananyima haki ya msingi kwa…
14 November 2024, 8:06 pm
Upimaji afya ni muhimu kubaini viashiria vya magonjwa yasiyoambukiza
Na Anselima Komba Maadhimisho ya wiki ya magonjwa yasiyoambukiza yameanza rasmi Novemba 9/11/2024 na yatahitimishwa Novemba 16/11/2024 huku yakibeba kauli mbiu isemayo muda ni sasa zuia magonjwa yasiyoambukiza mahali pa kazi Dkt Rhoda Rameck ambaye pia ni Mratibu wa magonjwa…
14 November 2024, 8:06 pm
Uelewa matumizi ya mfumo yanyima makundi maalumu 30%
Na Mariam Kasawa. Jamii ya kundi maalumu imetajwa kukabiliwa na changamoto ya uelewa jinsi ya kutumia mfumo wa Serikali wa NEST ili kupata taarifa za kiuchumi Bi .Felister Mdemu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsi, Wanawake na…
14 November 2024, 8:06 pm
Paranga Chemba walilia zahanati
Na Yussuph Hassan, Wakazi wa kijiji cha Paranga Wilayani Chemba Mkoani Dodoma wapo tayari kuchangia nguvu zao ili kufanikisha ujenzi wa zahanati ili kuondokana na changamoto ya wanawake kujifungulia njiani. Hatua hii inajiri baada ya kufikiwa na mradi wa ninawajibika…
14 November 2024, 8:05 pm
Badili mtindo wa maisha kuepuka magonjwa yasiyoambukiza!
Na Mariam Ma Mtindo wa maisha umetajwa kuchaingia kwa kuchangia uwezekano wa jamii kuathiriwa na magonjwa yasiyoambukiza. Gaudensia Kalalu ni mtaalamu wa saikolojia kutoka hospitali ya taifa afya akili mirembe anazungumzia zaidi aina ya magonjwa yasiyoambukiza pamoja na sababu zinazopellekea…
13 November 2024, 5:24 pm
Changamoto katika usafiri wa umma zageuka kero sekta ya usafirishaji
Na Lilian Leopold Wananchi wanaotumia usafiri wa umma wanakabiliwa na changamoto ambazo zimegeuka kuwa kero katika sekta ya usafirishaji. Wakazi wa jijini Dodoma wanabainisha changaomoto hizo katika usafiri wa umma ikiwa ni pamoja na muda mrefu wanatumia kukaa kwenye chombo…
13 November 2024, 5:24 pm
Matumizi ya nishati safi yashika kasi sehemu za umma
Na Mariam Kasawa. Hivi karibuni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa alizitaka taasisi zinazo pika chakukula kwa watu zaidi ya 100 kuacha matumizi ya kuni na mkaa na kuhamia kwenye nishati safi hadi hadi kufikia…