Dodoma FM

Serikali yatakiwa kusimamia ubunifu na uvumbuzi wa vijana

5 December 2025, 2:40 pm

Je Ni vipi vipaumbele vikuu katika wizara hiyo ikiwa ni wizara mpya.Picha na mtandao.

Muandishi wetu Benard Komba amefanya mahojiano na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na Jamii Ismail Mussa ameanza kumuuliza Je Ni vipi vipaumbele vikuu katika wizara hiyo ikiwa ni wizara mpya?

Na Bennard Filbert.
Serikali kupitia wizara ya vijana ofisi ya Rais imetakiwa kusimamia ubunifu na uvumbuzi kwa vijana ili kutengeneza fursa mpya zitakazo Saidia kukabliana na changamoto ya ajira nchini.

Novemba 17 Mwaka huu Mh.Rais Samia Suluhu Hassan wakati akitangaza baraza jipya la Mawaziri alimtangaza Joel Arthur Nanauka kuwa Waziri wa vijana chini ya Ofisi ya Rais lengo ikiwa kusimamia masuala yanayowahusu vijana.

Sauti ya Ismail Mussa