Dodoma FM
Dodoma FM
2 October 2025, 5:17 pm

Picha ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Doroth Gwajima. Picha na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba ya Tanzania imeweka hatua mahususi kuhakikisha wanawake wanawakilishwa kwa kiwango kisichopungua asilimia 30 ya wabunge.
Na Selemani Kodima.
Ushiriki wa wanawake katika siasa na uongozi hapa nchini umeendelea kuimarika, lakini bado unakabiliwa na changamoto kadhaa
Miongoni mwa Vikwazo ni pamoja na Mitazamo ya Kijamii,Mila na desturi nyingi bado zinapendelea wanaume kuwa viongozi, na wanawake huonekana kama wasiofaa kwa nafasi za kisiasa,Ubaguzi wa Kijinsia,Kutotangazwa kwa Mafanikio ya Wanawake.
Katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Katiba ya Tanzania imeweka hatua mahususi kuhakikisha wanawake wanawakilishwa kwa kiwango kisichopungua asilimia 30 ya wabunge.
Awali Mwandishi wetu Selemani Kodima amefanya mahojiano na Mwanasheria kutoka kituo cha sheria na haki za Binadamu na mambo yalikuwa hivi.
Sauti ya mahojiano kati ya Selemani Kodima na Mwanasheria.