Dodoma FM
Dodoma FM
1 October 2025, 5:40 pm

Ligi hiyo ambayo hufanyika kila mwaka inalenga kuinua vipaji vya wachezaji chipukizi pamoja na kuongeza hamasa ya michezo katika jamii ya Dodoma. Picha na Hamis Makila.
Hadi hivi sasa imechezwa michezo miwili na ligi inatajaria kuendelea Oktoba 04 na 05.
Na: Hamis Makila.
Ratiba ya ligi ya mkoa kwa mwaka 2025-2026 imewekwa wazi huku ligi hiyo ikiwa na makundi mawili yenye jumla ya timu 11. Kundi A ni Faesa Fc, Zabibu, Black tigger, Paroma Youth, Sheri Complex na Academy vijana. Kundi B ni Veyula Fc, Dodoma sports, Makole, Mlimwa C FC na Mpyayungu.