Dodoma FM
Dodoma FM
26 August 2025, 3:37 pm

Je, mtoto ambaye amezaliwa na mama yake kufariki ni hatua zipi zinapaswa kufuata ili kumpatia maziwa?
Na Yussuph Hassan.
Leo tunaangazia namna sahihi ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa mtoto ambaye mzazi wake amefariki baada ya kuzaliwa.
Huu ni mwanzo na kesho tutaendelea na maada hii juu ya unyoyeshaji kwa mtoto ambaye huenda mzazi wake amefariki baada ya kuzaliwa.