Dodoma FM
Dodoma FM
30 July 2025, 11:18 am

Mradi huu wa Boresha Maisha yaVijana tayari umefika katika mikoa Takribani mine na tayari umegusa maisha ya vijana 40, 000 hapa nchini.
Na Mriam Kasawa.
Uongezaji wa thamani katika mazao ni moja ya njia zinazo tajwa kuwanufaisha vijana jijini Dodoma na kuwasaidia kujikwamua kiuchumi.

Katika jamii nyingi, vijanawamekuwawakikumbananachangamotozaajira, kipato na fursa za kujikwamua kiuchumi . Lakini kupitia mradi wa Boresha Maisha yaVijana unaotekelezwana TYC kwaufadhiliwa WE EFFECT hali imebadilikahali imebadika na vijana walio pitia mafunzo waasimulia jinsi walivyo nufaika.
Mwanadada Fatma Njama ni mnufaika wa mafunzo ya mradi wa boresha maisha ya vijana kupitia mafunzo aliyopata ya kuongeza thamani mazao anasema wameweza kutengeneza bidhaa mbalimbali na kujipatia kipato.

Mradi huu wa boresha maisha ya kijana umeweka mkazo katika kuwawezesha vijana kwa kuwajengea uwezo wa kujitegemea pamoja na kuwaunganisha na fursa mbalimbali za kujikwamua kimaisha.
Nae Meneja mradi wa boresha maisha ya vijana Bw.Yahaya Kitogo kutoka TYC hapa anaeleza jinsi mradi huo ulivyo fanikiwa kuwafikia vijana na kuwanufaisha.