Dodoma FM
Dodoma FM
13 May 2025, 4:47 pm

Matukio hayo yamepelekea baadhi ya wananchi kuwa walemavu.
Na Kitana Hamis.
Kwa kipindi Cha Miezi 4 zaidi ya Watu 4 Wameuawa Wengine kujeruhiwa kwa kushambuliwa na Tembo.
Matukio hayo yamepelekea baadhi ya wananchi kuwa walemavu huku Tembo hao wakiharibu mali pamoja na mazao ya Wananchi wilayani Kiteto Mkoani Manyara.