Radio Tadio

Ajali

6 February 2024, 4:48 pm

Mwanafunzi afariki wakati akiogelea bwawani Geita

Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha mashimo makubwa kujaa maji nakuleta madhara kwa watu na wanyama waliyopembezoni mwa mashimo hayo. Na Kale Chongela: Mwanafunzi wa darasa la saba katika shule ya msingi Mbabani Kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita  wilayani Geita amefariki…

6 February 2024, 8:26 am

Soko la Mbuyuni lateketea kwa moto

Soko la Mbuyuni limeteketea kwa moto na kuwasababisha hasara kwa wafanyabiashara wa soko hilo huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijulikani. Na Elizabeth Mafie Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amefika soko la Mbuyuni lililoteketea kwa moto usiku huu…

1 February 2024, 5:54 pm

Katavi: Wachimbaji waaswa kuchukua tahadhari migodini kipindi cha mvua

“Kaimu kamanda  Geofrey Mwambungu  amesema kuwa kuna ajali nyingi hutokea katika maeneo ya Migodini  kipindi cha mvua”. Picha na Gladness Richard. Na Gladness Richard-Katavi Wachimba wa madini mkoani Katavi wameshauliwa kuchukua tahadhali kabla hawajaingia kwenye Migodi  katika kipindi hiki cha…

30 January 2024, 2:32 pm

Mlinzi achinjwa na watu wasiojulikana usiku Sengerema

Matukio ya walinzi kuuawa mjini Sengerema yamekuwa yakijirudia mara kwa mara kila mwaka jambo hili limekuwa likihusishwa na imani za kishirikina pamoja na wivu wa kimapenzi. Na;Said Mahera Mtu  mmoja  anaesadikiwa  kuwa ni mlinzi wa kampuni ya ulinzi ya  Mwasenda …

18 January 2024, 4:47 pm

Akatwa panga na mpwa wake kisa deni la elfu 80

Matukio ya ndugu wa familia kuuana na kujeruhiana kisa mali yamekuwa yakitajwa zaidi nchini ambapo katika wilaya ya sengerema mnamo mwezi October.2023 mtu mmoja aliuwawa na ndugu zake katika kijiji cha Ilunda kata ya Ngoma wakigombania shamba la urithi, Vivyo…

18 January 2024, 11:23

Matukio 53 ya ajali yaripotiwa kutokea mwaka 2023 Mbeya

Na Ezekiel Kamanga Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mbeya SF Malumbo Ngata ametoa taarifa ya miezi sita ya matukio mbalimbali hamsini na tatu yalliyoripotiwa Mkoani Mbeya likiwemo la vifo vya watoto wawili waliofariki baada kutumbukia kisima…

18 January 2024, 8:25 am

Mwanafunzi afariki kwa kugongwa na gari katika kivuko

Siku ya Jumapili Mtoto Abia akiwa na wenzake Sita Majira ya Saa tisa mchana wakiwa wanatoka kanisani aligongwa na gari wakati akijaribu kuvuka na mtoto mwingine aitwae Maria ambae yeye alifariki papo hapo. Na Fred Cheti.Hatimae Mazishi ya Mtoto Abia…