Radio Tadio

Ajali

16 January 2024, 3:47 pm

Afariki kwa kupigwa na radi-Sengerema

Baadhi ya watu wamekua na tabia ya kufanya kazi kwenye mvua, jambo ambalo linatajwa kuwa ni hatari sana, na katika halmashauri ya wilaya ya Sengerema mwanamke mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi akiwa shambani kuvuna mahindi wakati mvua ikiwa…

15 January 2024, 15:23

Wanafunzi 11, mwalimu wapigwa na radi Iringa

Na Godfrey Mengele Jumla ya wanafunzi 11 na mwalimu mmoja wa shule ya Msingi Uyole iliyopo Halmashauri ya manispaa ya iringa wamepigwa na radi asubuh ya leo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa…

31 December 2023, 10:07

Watu kadhaa wahofiwa kufariki ajalini Mbeya

Na Kelvin Lameck Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika ajali iliyotokea mapema leo katika eneo la Mbembela kata ya Nzovwe jijini Mbeya. Ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo roli pamoja hiace mbili ambazo zilikuwa na abiria zikifanya safari zake Sokomatola Mbalizi.…

27 December 2023, 12:51 pm

Wawili wajeruhiwa na mamba siku ya Chrismas Bunda

Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati wakiendele na shughuli zao katika ufukwe wa ziwa Victoria. Na Adelinus Banenwa Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati…