Radio Tadio

Ajali

1 July 2025, 10:34 pm

Kahama kuwa mji wa kisasa ifikapo 2050

Kupitia mradi wa Mpango Kabambe Kidikitali, Kahama kuwa mji wa kisasa ifikapo 2050 Na Sebastian Mnakaya Baadhi ya Migogoro ya ardhi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga inakwenda kufikia mwisho baada ya kuanza kwa mradi wa Mpango Kabambe wa kidikitali…

15 March 2025, 5:46 pm

Bunda kuadhimisha miaka minne ya Rais Samia Machi 17

Miongoni mwa maeneo yatakayoangaziwa ni pamoja na sekta mbalimbali za serikali ikiwemo Maji, Umeme, Afya, Barabara pamoja na Elimu. Na Adelinus Banenwa Serikali wilayani Bunda imewaomba wananchi wote kuudhuria maadhimisho ya miaka minne ya serikali ya awamu ya sita chini…

28 February 2025, 11:14 am

Serikali kuendeleza ushirikiano na sekta binafsi katika kukuza uchumi

Serikali imesema itaendelea kushirikiana na sekta binafsi katika kuhakikisha Watanzania wanaendelea kupata huduma bora sambamba na kupunguza umasikini miongoni mwao Na Sebastian Mnakaya Serikali imesema itaendelea kushirikiana na sekta binafsi katika kuhakikisha Wantanzania wanaendelea kupata huduma bora sambamba na kupunguza…

17 February 2025, 5:41 pm

Jengo la ofisi za hazina lazinduliwa mkoani Geita

Serikali imeendelea kuimarisha na kuboresha huduma za wizara ya fedha ikiwemo kusogeza huduma hizo karibu na wananchi zaidi. Na: Edga Rwenduru – Geita Wizara ya fedha imetoa onyo kwa watu na taasisi mbalimbali za fedha zinazotoa mikopo umiza kwa wananchi…