Radio Tadio

Ajali

15 May 2026, 11:49 pm

Madiwani Bunda DC walia na ubovu wa barabara

Licha ya TARURA kufanya kazi kubwa ya ujenzi wa barabara katika wilaya hiyo, baadhi ya barabara zimeharibika kutokana na mvua kubwa zilizonyesha hivi karibuni, hali inayohitaji hatua za haraka za matengenezo ili kurejesha huduma ya usafiri kwa wananchi. Na Mariam…

2 May 2026, 21:28

ZFDA yateketeza tani 4.8 za maziwa yenye bakteria

ZFDA imeteketeza tani 4.8 za maziwa ya watoto aina ya SMA kwa tuhuma za kubainika kuchafuliwa na bakteria hatari. Uchafuzi huo unaweza kusababisha madhara kama kichefuchefu, kutapika, maumivu ya tumbo na kuharisha. Na Mary Julius/ Wakala wa Chakula, Dawa na…

2 May 2026, 20:32

Wahitimu kutumia elimu kusaidia jamii

Wahitimu wa Kidato Cha Sita katika shule ya Sekondari JJ Mungai iliyopo Halmashauri ya Mji Mafinga Mkoani Iringa wametakiwa kuisaidia Jamii Kwa kutumia Elimu yao. Ma Fredrick Siwale Hayo yamezungumzwa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu Iringa (UoI) Dr.Salvatory Mhando katika…

16 April 2026, 15:28

DC Kigoma azindua ugawaji wa majiko sanifu

Majiko banifu ni suluhisho muhimu kwa maendeleo endelevu yanayochangia afya, uchumi, na utunzaji wa mazingira Na Mwandishi wetu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt. Rashid Mohamed Chuachua, ametoa wito kwa wananchi wilayani humo kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye…

31 March 2026, 3:24 pm

Mikopo asilimia 10 ipo ombeni

Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamiii halmashauri ya Bunda Bi Octavina Kiwone ameeleza kuhusu fursa ya mikopo ya asilimia 10  ambapo amewataka vijana, wanawake na watu wenye ulemavu kujitokeza kwa wingi  kuunda vikundi imara  vitakavyowasaidia kupata fursa hiyo ili…

17 March 2026, 11:08

Majiko banifu zaidi ya 400 yatolewa kwa wananchi Kasulu

Majiko banifu yamekuwa suluhisho muhimu katika kukabiliana na changamoto za kimazingira na kijamii katika nchi nyingi zinazoendelea, ikiwemo Tanzania na kwa muda mrefu jamii nyingi zimekuwa zikitegemea kuni na mkaa kama vyanzo vikuu vya nishati ya kupikia hali ambayo imesababisha…