Ajali
1 July 2026, 06:36
Mfuko wa wanawake wajasiriamali wazinduliwa rasmi Mtwara Mjini
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wanawake na Makundi Maalumu, Maryprisca Mahundi, amezindua Mfuko wa Uwezeshaji wa Wanawake Wajasiriamali Wadogo Mtwara Mjini, ambapo wanawake zaidi ya 300 wamepatiwa mafunzo na 80 kunufaika na mikopo ya biashara. Na Musa Mtepa Naibu…
29 June 2026, 6:25 pm
Kilimba: Elimu mliyoipata ifanyieni kazi mkue kiuchumi
‘‘Tumieni elimu mlioyoipata kuboresha na kuongeza thamani bidhaa zenu na kuongeza vipato vyenu’’ Wajasiriamali wa kata ya Nyahanga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wametakiwa kutumia elimu ya ujasiriamali walioipata wakaifanyie kazi kwa vitendo ili kuimarisha biashara zao na kuongeza vipata…
28 June 2026, 3:06 pm
Wajasiriamali Kahama changamkieni fursa ya mikopo ya 7% na 10%-Kilimba
Wajasiriamali katika kata ya Nyahanga Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, wametakiwa kuchangamkia fursa za mikopo ya asilimia 7% na 10% yenye masharti nafuu ili kujikwamua kiuchumi na kuongeza vipato vyao. Zaidi ya wajasiriamali 74 wa kata ya Nyahanga…
26 June 2026, 11:21 am
Mtelela: Mkopo wa 10% siyo sadaka
Wakizungumza baada ya kupokea fedha hizo baadhi ya wanufaika hao wamesema kuwa fedha hizzo zimewasaidia kupata mitaji,kukuza vipato vyao kutokana na n mkopo huo wenye masharti nafuu kutoka halmashauri. Na Mariam Mrambi Jumla ya vikundi 33 kutoka maeneo mbalimbali katika…
23 June 2026, 19:35
Wajane Ifakara wapinga mila kandamizi
Licha ya kuamini umoja kuwa sauti yao kukabiliana na changamoto hizo wameziomba mamlaka husika kuendelea kutoa elimu ya sheria za mirathi na haki za wajane ili kupunguza vitendo vya unyanyasaji vinavyoendelea kujitokeza kwa baadhi ya watu Na Katalina Liombechi Wakati…
22 June 2026, 4:24 pm
DC Geita ashiriki uzinduzi wa MMU ya ulipuzi wa miamba migodini
“Kwanza niwapongeze sana sana ESAP kwa uthubutu huu na hii inaendana sambamba na dhamira ya serikali ya awamu ya sita kuweka mazingira wezeshi kwa wazawa katika mnyororo wa thamani ya madini nchini” – DC Geita Hashim Komba Na: Ester Mabula…
16 June 2026, 6:00 pm
Vijana, wanawake na watu wenye ulemavu changamkieni mikopo
‘‘Vijana msikate tamaa wakati mkishughulikia kupata mikopo ya 10% inayotolewa na halmashauri, inayotokana na mapato ya ndani’’ Vijana, wanawake na watu wenye ulemavu katika Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kuaiha tabia ya kukata tamaa katika ufatiliaji wa upatikanaji wa…
13 June 2026, 12:55
UN Women kusaidia wanawake, vijana 3500 Kigoma
Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa yakiathiri sehemu kubwa ya ustawi wa watu wenye ulemavu, wanawake na vijana katika shughuli mbalinbali za uzalishaji mali. Na Mwandishi wetu Shirika la Umoja wa Mataifa la Usawa wa Jinsia na Uwezeshaji wa Wanawake (UN Women)…
12 June 2026, 7:26 pm
TGNP yasaidia wakulima Manyara kupata uelewa wa kilimomisitu
Mtandao wa Jinsia Tanzania TGNP kwa kushirikiana na baadhi ya wakulima kutoka vituo vya taarifa na maarifa vya mamire na Murray mkoani Manyara wamefanya mafunzo ya pamoja ya nadharia na vitendo yanayohusu Kilimomisitu. Akizungumza na Fm Manyara Msimamizi wa mafunzo…
7 June 2026, 10:15
Wananchi watakiwa kutumia nishati safi kulinda mazingira Kasulu
Wakati leo dunia ikiadhimisha siku ya Mazingira, wananchi wameaswa kuungana na kuhifadhi mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo. Na Hagai Ruyagila Wananchi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kutumia nishati safi ya kupikia ili kutunza na kuhifadhi mazingira…