Radio Tadio

Ajali

14 February 2026, 10:57 am

Baraza la Madiwani Manispaa ya Kahama lapitisha bajeti ya bil. 70

Baraza la madiwa la Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga limepitisha rasimu ya makisio ya bajeti shililingi bilioni 70 kwa mwaka wa fedha 2026/2027, fedha zitakazotumika kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa hiyo. Bajeti hiyo inatarajiwa kukusanywa…

8 February 2026, 5:23 pm

Msalala yatoa bilioni moja kwa vikundi vya wajasiriamali

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Frank Nkinda  amewaasa wanufaika wa mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri kuitumia vizuri kwa kuinua uchumi wao na zisiwe chanzo cha malumbano na ugomvi baina yao. Nkinda ameyasema hayo wakati akikabidhi hundi ya Shilingi…

27 January 2026, 1:54 am

Vijana Malunga watakiwa kujiari wao wenyewe

Na Sebastian Mnakaya Vijana wa kata ya Malunga wilayani Kahama mkoani Shinyanga wamekabidhiwa Cherehani 4 na Mashine ya kuchomelea 1, vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 1.9 ili kujiari na kujikwamua kiuchumi. Akikabidhi vifaa hivyo mbele ya mkutano wa…

26 January 2026, 10:12

Vijana kata ya Chuno wahamasishwa kujipanga kiuchumi

Vijana wa Kata ya Chuno, Mtwara Mjini, wametakiwa kuungana katika vikundi ili kunufaika na tenda na mikopo ya serikali kwa maendeleo yao ya kiuchumi Na Musa Mtepa Vijana wametakiwa kuungana na kuunda vikundi vitakavyowawezesha kupata tenda na mikopo kutoka serikalini,…

22 December 2025, 9:30 am

Kilimo cha umwagiliaji kinavyowawezesha wanawake Simanjiro

Na Isack Dickson, Katika Wilaya ya Simanjiro, mabadiliko ya tabianchi si hadithi tena, bali ni ukweli mchungu unaohatarisha usalama wa chakula, hata hivyo kundi la wanawake 111 katika vijiji 5 limeamua kubadili mwelekeo. Kupitia ushirikiano na shirika la TACCEI, wanawake…

12 December 2025, 19:30

Waziri Chongolo afanya ziara ya kikazi Mtwara

Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, alifanya ziara ya kikazi Mtwara kufuatilia msimu wa korosho 2025/2026, kuhimiza ruzuku ya pembejeo kwa wakulima, kuanzisha teknolojia ya ndege nyuki kupulizia dawa, na kuagiza TARI-Naliendele kufanya utafiti wa changamoto za korosho kutokana na mvua…

20 November 2025, 3:02 pm

Muziki wawaongezea utulivu ng’ombe wakati wa kukamuliwa

Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe  wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema  amewagundua  ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…