Ajali
18 January 2024, 08:25
Mwanafunzi afariki kwa kugongwa na gari katika kivuko
Siku ya Jumapili Mtoto Abia akiwa na wenzake Sita Majira ya Saa tisa mchana wakiwa wanatoka kanisani aligongwa na gari wakati akijaribu kuvuka na mtoto mwingine aitwae Maria ambae yeye alifariki papo hapo. Na Fred Cheti.Hatimae Mazishi ya Mtoto Abia…
16 January 2024, 3:47 pm
Afariki kwa kupigwa na radi-Sengerema
Baadhi ya watu wamekua na tabia ya kufanya kazi kwenye mvua, jambo ambalo linatajwa kuwa ni hatari sana, na katika halmashauri ya wilaya ya Sengerema mwanamke mmoja amefariki Dunia kwa kupigwa na radi akiwa shambani kuvuna mahindi wakati mvua ikiwa…
16 January 2024, 09:53
Wanafunzi 11 wa darasa la 7 wanusurika kifo baada ya kupigwa na radi Iringa
Mvua
15 January 2024, 15:23
Wanafunzi 11, mwalimu wapigwa na radi Iringa
Na Godfrey Mengele Jumla ya wanafunzi 11 na mwalimu mmoja wa shule ya Msingi Uyole iliyopo Halmashauri ya manispaa ya iringa wamepigwa na radi asubuh ya leo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa…
5 January 2024, 23:01
Wawili wanusurika ajalini Mikumi wakielekea kwenye kipaimara
Na Hobokela Lwinga Gari Aina ya gari Noah Yenye namba za usajili T507 DPP mali ya mchungaji James Mwakalile ambalo lilikuwa likifanya kazi katika misheni ya Morogoro imepata ajali katika eneo la karibu na kambi ya jeshi December 22,2023 .…
2 January 2024, 8:55 am
Wawili wapoteza maisha ajali ya gari mkesha wa mwaka mpya Bunda
Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa mkesha wa mwaka mpya eneo la Nyasura makumbusho wilayani Bunda. Na Adelinus Banenwa Watu wawili wamefariki Dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali iliyotokea usiku wa mkesha…
1 January 2024, 14:03
Madereva watakiwa kuongeza umakini msimu huu wa mvua zinazoendelea kunyesha
Madereva wa mabasi yaendayo mikoani wametakiwa kuzingatia sheria za usalama barabarani hasa kipindi hiki cha mvua ili kudhibiti athari zinazoweza kujitokeza ikiwemo ajali. Na Josephine Kiravu. Akizungumza na madereva Mkuu wa dawati la elimu usalama barabarani Nchini, ACP Michael Dereri…
31 December 2023, 7:09 pm
Mwili mwingine wa mchimbaji wa madini wapatikana mgodi wa Kinyambwiga
Mwili mwingine wa mchimbaji wa dhahabu mgodi wa dhahabu wa Kinyambwiga wilayani Bunda umeopolewa zikiwa ni siku 21 tangu taarifa za kufukiwa na kifusi Dec 09, 2023. Na Adelinus Banenwa Mwili mwingine wa mchimbaji wa dhahabu mgodi wa dhahabu wa…
31 December 2023, 10:07
Watu kadhaa wahofiwa kufariki ajalini Mbeya
Na Kelvin Lameck Watu kadhaa wanahofiwa kufariki katika ajali iliyotokea mapema leo katika eneo la Mbembela kata ya Nzovwe jijini Mbeya. Ajali hiyo imehusisha magari matatu ikiwemo roli pamoja hiace mbili ambazo zilikuwa na abiria zikifanya safari zake Sokomatola Mbalizi.…
27 December 2023, 12:51 pm
Wawili wajeruhiwa na mamba siku ya Chrismas Bunda
Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati wakiendele na shughuli zao katika ufukwe wa ziwa Victoria. Na Adelinus Banenwa Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kushambuliwa na mamba siku ya tarehe 25 wakati…