

6 March 2025, 6:09 pm
Mpaka sasa jumla ya mashahidi wanne (4) upande wa mashtaka wametoa ushahidi wao, mshtakiwa amerejeshwa rumande hadi 19/03/2025 kesi hiyo itakaposikilizwa tena .
Na Kitana Hamis.
Ally Bahi mwenye Umri wa miaka 37 Mkazi wa Kijiji Cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara. Anashtakiwa kwa Kosa la Kumlawiti Mtoto wa miaka Sita.
Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Kiteto Mososari Sasi akiwa Mahakama hapo alimtaka Daktari huyo kuieleza Mahakama kuhusu tarifa za Kitabibu alizonazo ambapo inaelezwa kuwa Mtoto wakiume Mwenye Umri wa miaka Sita (6) ambaye jina lake sio halisi ameingiliwa kinyume na maumbile.
Kwamujibu wa Hakimu Mososasi ushahidi huo nimiongoni Mwa ushahidi unaoendelea Kutolewa Mahakama hapo kesi namba 57 Ya Mwaka 2024 inayomkabili Ally Bahi mwenye Umri wa miaka Thelathini na Saba (37) Mkazi wa Kijiji cha Ndaleta Wilayani Kiteto Mkoani Manyara.
Kwamjibu Hakimu Mkazi wa mahakama Wilayni Kiteto Mososari Sasi amesema Mahakama hapo kuwa shitaka hilo nikinyume na kifugo Cha miamoja na Khamisi na nne(154) chasheria ya kanuni ya adhabu sura Kumi na sita (16) kama ilivyo fanyiwa mapitio mwaka 2022.