

5 March 2025, 12:40 pm
Hii hapa taarifa yake kitana hamisi kutoka Wilayani Kiteto.
Na Kitana Hamis.
Wananchi Wilayani Kiteto Mkoani Manyara Wamefanya Dua ya kuomba Mvua baada ya kuona Hali ya ukame inazidi huku mazao yakikauka siku hadi siku.
Kitana Hamis ametuandalia taarifa kamili huu ya dua hiyo