

4 March 2025, 12:15 pm
Licha ya Dodoma kufahamika kuwa na hali ya nusu jangwa lakini yapo mazao ambayo hulimwa wakati wa masika.
Na Yussuph Hassani.
Mwana fahari leo Yussu[h anasimuliza asili ya mazingira ya mkoa huu wa Dodoma katika mfululizo wa makala hii ya fahari ya Dodoma.