Dodoma FM
Mjumbe wa serikali ya mtaa aanguka ghafla na kufariki dunia
23 January 2025, 6:17 pm
Majirani wameeleza Juu ya Tukio hilo lilivyo Tokea.
Na Kitana Hamis.
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa afariki dunia Kwa Kuanguka Ghafla huku Wananchi wengi wakibaki na Maswali Juu ya ya kifo chake.
Tukio Hilo limetokea Mtaa wa Majego Kata ya Mtumba Jijini Dodoma.
Kufuatia sakata Hilo la Mtu moja kufariki Dunia katika mazingiza ya kutatanisha ambaye amefamika kama Ndaro Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa majego Kata ya mtumba.
Nao ndugu wa Marehem wakaeleza kwa masikitiko juu ya tukio hilo