Dodoma FM

Elimu, dini jinsia na ulemavu visababishi ubaguzi katika familia

4 December 2024, 12:45 pm

Picha ni Afisa Mradi kutoka Action for Community Care Michael Mavunde akiongea na Dodoma Tv.Picha na Lilian Leopord.

Wazazi na walezi wameombwa kutokuwabagua watoto wao katika familia ili kuweka usawa.

Na Lilian Leopord.

Elimu, jinsia, dini na ulemavu vimetajwa kuwa visababishi vinavyochochea watoto kubaguliwa kwenye familia.

Akizungumza na Dodoma Tv Afisa Mradi kutoka Action for Community Care Michael Mavunde amesema kuwa watoto wanabaguliwa katika familia zao kutokana na madhaifu wanayokuwa nayo.

Sauti ya Michael Mavunde.

Aidha Michael Mavunde amebainisha madhara ambayo watoto wanayapata wanabaguliwa katika familia.

Sauti ya Michael Mavunde.
Watoto wanabaguliwa katika familia zao kutokana na madhaifu wanayokuwa nayo.Picha na Lilian Leopord.

Kwa upande wake Meneja Mradi kutoka Action for Community Care Bi Ester Jonas amebainisha jitihada mbalimbali zinazotakiwa kufanywa ili kuondoa dhana ya ubaguzi unaofanywa na wazazi kwa watoto.

Sauti ya Bi. Ester Jonas .

Sanjari na hayo baadhi ya wananchi nao wamekuwa na haya ya kusema.

Sauti za wananchi.