Radio Tadio

Familia

8 January 2024, 16:43

Wazazi kushirikiana tiba ya upendo kwa mzazi mmoja

Baadhi ya wazazi wakiume wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na wazazi wa kike kuzilea familia zao na kuacha kuzitelekeza hali inayopelekea baadhi ya watoto kuwa na mapenzi na mzazi mmoja. Rai hiyo imetolewa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la…

27 September 2023, 13:07

Wanafunzi marufuku mikesha ya ngoma(sherehe) za usiku

Baadhi ya wazazi wamekuwa wakiwahusisha watoto wadogo kwenye sherehe hali inayopelekea watoto kubadilika tabia na wengine kushindwa kuendelea na masomo na kuwa wanenguaji katika sherehe hizo. Na Samwel Mpogole Afisa Tarafa wa Sisimba Jijini Mbeya John Mboya amewataka wazazi na…

15 August 2023, 3:42 pm

Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine

Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani  anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula. Na Leonard Mwacha. Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake…

23 May 2023, 4:56 pm

Wanandoa watakiwa kuimarisha upendo kuepusha ndoa nyingi kuvunjika

Wazazi wametakiwa kuimarisha upendo na kuepuka kuvunja ndoa ambazo huacha watoto wakitaabika bila malezi huku wengine wakibaki kuwa watoto wa mitaani. Na Bernad Magawa. Ili kuhakikisha kuwa watoto katika familia wanalelewa na wazazi wote wawili, Wanandoa wameshauriwa kuimarisha upendo kati…

20 March 2023, 3:35 pm

Ushindani katika ndoa chanzo wanaume kutowajibika

Kukosekana kwa upendo na uaminifu limetajwa kuwa chanzo kikubwa Cha wanaume kutowajibika katika malezi na matunzo ya familia zao. Bernadetha Mwakilabi. Tukiwa katika mwezi wa wanawake kukosekana kwa upendo na uaminifu limetajwa kuwa chanzo kikubwa Cha wanaume kutowajibika katika malezi…