Recent posts
8 November 2024, 7:15 pm
Hospitali ya Rufaa Dodoma yajipanga kupambana na utapiamlo
Na Mindi Joseph Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma General imejipanga kupunguza adha inayoikabili jamii katika masuala ya Afya, kwa kuendelea kutoa Matibabu lishe kwa Watoto wenye utapiamlo mkali. Hii inayojumuisha chakula dawa na kuwaandalia sehemu ya michezo kwa…
8 November 2024, 7:14 pm
TCRA yadhibiti utapeli mtandao
Na Anwary Shabani Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya kati imedhibiti uhalifu wa mitandao kwa kiwango kikubwa kupitia Kampeni ya Ni Rahisi Sana. Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA kanda ya kati Mhandisi Asajile John amesema kuwa kampeni…
7 November 2024, 5:55 pm
Serikali yawezesha RUWASA usafiri kufuatilia miradi
Na Steven Noel. Serikali imeipatia gari RUWASA wilaya ya Mpwapwa ili kuongeza ufanisi katika kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maji. Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini RUWASA mkoa wa Dodoma Mwandisi Mbaraka Ally amezungumzia umuhimu wa chombo hicho cha usafiri…
7 November 2024, 5:55 pm
Jitihada zaidi zahitajika kuteketeza taka za kieletroniki
Na Mariam Kasawa. Takribani tani 33, 000 za taka za kieletroniki huzalishwa nchini kwa mwaka na asilimia 3% tu ya taka hizo hukusanywa na kurejereshwa na kiwango kikubwa cha taka hubaki na kuzagaa katika mazingira. Bi Lilian Lukambuzi Mkurugenzi wa…
7 November 2024, 5:54 pm
TCRA yatoa somo kwa waandishi wa habari masuala ya uchaguzi
Na Anwary Shabani. Mamalaka ya Mawasiliani Tanzania TCRA imewataka waandishi wa habari kuzingatia kanuni za utangazaji katika kuripoti na kutangaza masuala ya chaguzi zijazo. Meneja wa huduma za utangazaji TCRA Mhandisi Andrew Kisaka amesema hayo katika mafunzo kwa waandishi wa…
6 November 2024, 5:53 pm
Msimu wa kilimo wazinduliwa Singida
Na. Anselima Komba Wakulima Mkoani Singida wametakiwa kujiandikisha katika daftari la ruzuku ya mbolea ili kufaamu kawango cha mbolea kinachohitajika katika msimu huu wa kilimo. Hayo yamejiri wakati Mkuu wa Idara maendeleo ya Jamii Francis Mashallo Akizindua Msimu wa Kilimo…
6 November 2024, 5:53 pm
Utandawazi chanzo cha ufahamu kwa mtoto
Na Lilian Leopold. Mitandao ya kijamii imetajwa kuwa ni moja ya chanzo kikubwa cha ufahamu watoto wa kitanzania kujifunza mambo mbalimbali. Hayo yamebainishwa na baadhi ya wazazi mkoani Dodoma ambapo wamesema kuwa mitandao ya kijamii ikitumiwa vizuri itawasaidia watoto kujifunza…
6 November 2024, 5:53 pm
Wachimbaji wadogo wa madini watakiwa kutotumia zebaki
Na Mariam Kasawa . Wachimaji wadogo wa madini Nchini wameshauriwa kuachana na matumizi ya kemikali aina ya zebaki katika shughuli za uchenjuaji madini . Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani WHO linasema kemikali ya zebaki kwamba ni miongoni mwa…
6 November 2024, 4:43 pm
Zifahamu athari za kukasimu jukumu la malezi ya mtoto kwa dada wa kazi
Na Anuary Shabani, Kukasimu jukumu la malezi ua mtoto kwa dada wa kazi imeelezwa kuwa na athari ya mmomonyoko wa maadili katika malezi na makuzi ya mtoto. Wazazi jijini Dodoma wametoa maoni tofauti kuhusian na athari zinazojitokeza kwa mtoto endapo…
5 November 2024, 5:58 pm
Fahamu faida za hifadhi hai za Tanzania
Na Fred Cheti. Nevomba 3 ya kila mwaka dunia huadhimisha siku ya kimataifa ya hifadhi hai duniani ambapo kuna hifadhi hai zipatazo 748 huku Tanzania ikiwa na jumla ya hifadhi hai 6. Bwn. Novatusi Moshi ni Afisa Mazingira mwandamizi kutoka…