Dodoma FM
Dodoma FM
12 July 2021, 13:16
Na; Shani Nicolous. Baadhi ya wanaume katika kata ya Bahi Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma wanadaiwa kufanya unyanyasaji wa kiuchumi katika familia zao hususani katika kipindi hiki cha msimu wa mavuno. Hayo yamesemwa na Diwani wa kata hiyo Bw. Agustino…
12 July 2021, 12:32
Na; Benard Filbert. Wakazi wa mtaa wa Mkoyo kata ya Hombolo Jijini Dodoma waeombwa kuzingatia bei halali ya uingizaji wa umeme wa REA ambayo ni elf 27 na sio vinginevyo. Tahadhari hiyo imetolewa na Diwani wa Kata ya Hombolo Bw.…
12 July 2021, 12:12
Na; Mariam Matundu. Wakazi wa Mkoa wa Dodoma wameombwa kumsaidia Rhoda Nhambali binti mwenye ulemavu wa afya ya akili ili aweze kupata matibabu. Bathromeo Nhambali ambae ni baba mzazi wa binti huyo amesema ulemavu huo ulisababisha kumkatisha masomo binti yake…
12 July 2021, 10:20
Na; Mariam Matundu. Baadhi ya wajasiriamali wenye ulemavu Mkoani Dodoma wamesema ukosefu wa mitaji na masoko ya bidhaa zao ni moja ya sababu zinazopelekea wengi wao kushindwa kujiinua kiuchumi. Mwita Marwa ambae ni mjasiriamali mwenye ulemavu amesema kutokana na changomoto hizo…
10 July 2021, 14:19
Na;Mindi Joseph . Waziri wa afya maendeleo ya jamii jinsia wazee na watoto Dkt Doroth Gwajima amezindua rasmi baraza la taifa la mashirika yasiyo ya kiserikali NaCoNGO na kulitaka baraza hilo kufanya kazi kwa weledi, uadilifu na uzalendo kwa kuzingatia…
9 July 2021, 12:01
Na; Benard Filbert. Imeelezwa kuwa migogoro ya ardhi katika Kata ya Chemba Wilayani Chemba Mkoani Dodoma imepungua kwa kiasi kikubwa tofauti na awali ambapo ilikuwa ikileta ugomvi kwa wananchi. Hayo yameelezwa na mwenyekiti wa Kijiji hicho Bw. Bashiru Athman wakati…
9 July 2021, 11:44
Na; Shani Nicolous. Ukosefu wa elimu na jinsi ya kupata soko kwa wazalishaji wadogo wa bidhaa Nchini imetajwa kuwa changamoto hivyo kushindwa kuongeza mnyororo wa thamani. Hayo yamebainishwa na mkurugenzi mtendaji wa jukwaa la wadau wa sekta ya kilimo Bw.…
9 July 2021, 11:31
Na; Joan Msangi. licha ya juhudi kubwa za serikali pamoja na mashirika mengne ya haki za binadamu kuendeleza upingaji wa vitendo vya ukatili wa kijinsia bado matukio hayo yanaendelea ambapo takribani watoto 40 elfu wanapitia hali hiyo. Wakizungumza na taswira…
9 July 2021, 11:07
Na; Mindi Joseph. Baraza la Taifa la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali (NaCoNGO) limetangaza rasmi viongozi wapya waliochaguliwa nafasi za ngazi ya kitaifa watakaoongoza kwa kipindi cha miaka mitatu. Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo,Julai 8,2021,Mwenyekiti wa Kamati ya mpito iliyosimamia uchaguzi…
8 July 2021, 13:15
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa mujibu wa maelekezo ambayo yamekuwa yakitolewa na Serikali pamoja na wataalamu wa afya. Wito huo umetolewa na afisa afya wa Jiji la Dodoma Bw. Abdallah Mahiya…
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-