Dodoma FM
Dodoma FM
16 September 2021, 12:59
Na; Benard Filbert. Jamii imetakiwa kuacha kuwachukua watoto chini ya miaka 18 kufanya kazi za ndani kwani kufanya hivyo ni kinyume na sheria za Nchi ya Tanzania. Hayo yameelezwa na afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Dodoma Bi. Honoratha Rwegasira…
16 September 2021, 12:45
Na ;Victor Chigwada. Changamoto ya uhaba wa maji katika Kata ya Msanga Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma umeendelea kuwa kilio kikubwa kwa wananchi na kusababisha maji kununuliwa kwa bei kubwa. Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Msanga wameiomba Serikali kuwasaidia kupata…
16 September 2021, 03:09
15 September 2021, 14:48
Na ;Shani Nicolous . Siku moja baada ya uzinduzi wa mpango wa uelimishaji na uhamasishaji wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 uliofanyika jana baadhi ya wananchi wameeleza kuwa mpango huo utasaidia kuongeza uelewa katika jamii juu ya…
15 September 2021, 14:30
Na; Mariam Matundu. Serikali kwa kushirikiana na Wadau wa kutokomeza watoto wanaoishi mitaani wameazimia kuanza ukaguzi wa magari ya abiria ili kubaini usafirishaji wa watoto kwa lengo la kuzuia ongezeko la watoto wanaoishi na kufanya kazi mitaani. Hayo yamefikiwa katika…
15 September 2021, 14:12
Na;Mindi Joseph. Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Athony mavunde amewataka vijana kufanya kazi kwa weledi pindi wanapopata nafasi ya kuaminiwa kufanya kazi Kwenye Taasisi mbalimbali Nchini. Akizungumza na taswira ya Habari Mh Mavunde amesema vijana wanapopewa jukumu la kufanya kazi…
15 September 2021, 03:37
14 September 2021, 14:10
Na; Benard Filbert. Kufuatia Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kumteua Dokta Stergomena Tax kuwa waziri wa ulinzi na jeshi la Kujenga Taifa jamii imetakiwa kuondoa dhana potofu iliyopo kwenye jamii kuwa mwanamke hawezi kuongoza wizara…
14 September 2021, 13:58
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa usawa wa kijinsia katika nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini unawezekana kwa kuwa Rais Samia Suluhu Hassani anaonesha nia ya dhati katika kufikia hilo kutokana na teuzi mbalimbali anazozifanya. Hayo yameelezwa na mratibu wa mradi…
14 September 2021, 03:13
Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.
SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE
• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards
COVERAGE
Dodoma Region in all its 7 districts It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.
AREA OF FOCUS
Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-