Dodoma FM

Wanawake MPUWSA watoa msaada kwa watoto wenye mahitaji maalum

06/03/2026, 12:26

Picha ni mamlaka ya maji Katika Mji wa Mpwapwa .Picha na Steven Noel.

Ni lazima wanawake kujikita katika malezi ya watoto  bila kujali changamoto zao .

Na Steven Noel.

Kuelekea Siku  ya kilele cha wanawake Duniani  wanawake wa mamlaka ya maji Katika Mji wa Mpwapwa  Watoa msaada  wa vifaa vya  shule Katika  kituo cha watoto wenye mahitaji Maluum Chazungwa .

Wakiongea mala baada  ya kutoa msaada huo mwenyekiti wa wanawake  hao bi Jomila Mwelela  amesema.

Sauti ya kina Noel.