Dodoma FM

Ufahamu mchezo wa bao na aina zake

7 January 2026, 12:41 pm

Picha ni aina mojawapo ya bao ambalo huchezwa hapa nchini Tanzania.Picha na mtandao.

Zipo aina mbalimbali za bao ambazo huchezwa hapa mchini na pia upo utofauti kati ya mchezo wa bao kwa Tanzania bara na visiwani .

Na Yussuph Hassan.

Karibu katika Fahari ya Dodoma ambapo leo tupo katika mfululizo wa makala inayo husu Mchezo wa bao , Yussuph Hassan anasimulia zaidi kuhusu mchezo wa bao.