Dodoma FM
Dodoma FM
17 December 2025, 5:02 pm

Na Bennard Komba.
Kampuni inayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya kielektroniki Izack Enterprises iliyopo Dodoma imekuja na ofa za msimu wa sikukuu lengo ni kuwa karibu na wateja katika huduma zao ambazo wamekuwa wakitoa.
Muandishi wetu Benard Komba ametembelea katika duka hilo na kufanya mahojiano na afisa masoko wa Izack Interprises.