Dodoma FM

Nidhamu ya fedha kikwazo kwa vijana kufikia malengo

16 December 2025, 4:50 pm

Baadhi ya vijana wamejikuta wakishindwa kufanikiwa kiuchumi kutokana na sababu mbalimbali.Picha na Mtandao.

Mwandishi wetu Benard Komba amefanya mahojiano na Celine Condrady mkufunzi wa tabia na malezi Pamoja na Mshauri wa Watoto na vijana ameanza kwa kumuuliza nini maana ya nidhamu ya fedha.

Na Benard Komba
Kutokuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha imetajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa baadhi ya vijana hali inayopelekea kushindwa kufika malengo ambayo wanajiwekea.

Baadhi ya vijana wamejikuta wakishindwa kufanikiwa kiuchumi kutokana na sababu mbalimbali hivyo kutumia muda mwingi katika masuala ambayo hayana msingi wa maendeleo.

Sauti ya Celine Condrady .