Dodoma FM
Dodoma FM
11 December 2025, 5:19 pm

Na Farashuu Abdallah.
Kila Desemba 11 ni maadhimisho ya Siku ya Milima Duniani ambayo lengo lake ni kuhamasisha ulimwengu kuhusu umuhimu wa milima kwa maisha ya binadamu, mazingira na maendeleo endelevu.
Farashuu Abdallah amezungumza na baadhi ya wananchi mkoani Dodoma ili kuweza kujua wana uelewa gani juu ya umuhimu wa milima katika mazingira yanayotuzunguka.