Dodoma FM

Uuzaji holela wa nyama hatari kwa wakazi wilayani Kiteto

4 December 2025, 12:43 pm

Baadhi ya wananchi wamesema kuwa biashara hiyo ya uuzaji wa nyama bila kufuata taratibu imekuwa ikiongezeka kila siku.Picha na Mtandao.

Baadhi ya wauzaji wamekuwa wakiuza nyama ambayo haijapimwa na wataalamu wa mifugo hali ambayo ni hatari kwa walaji wa nyama hiyo.

Na Kitana Hamis.

Wananchi  Wilayani Kiteto mkoani Manyara wamelalamikia uuzwa holela wa nyama hali inayo hatarisha afya za walaji.

Wakizungumza na taswira ya   habari, baadhi ya wananchi wamesema kuwa biashara hiyo ya uuzaji wa nyama bila kufuata taratibu imekuwa ikiongezeka kila siku , huku baadhi ya wauzaji wakiuza nyama ambayo haijakaguliwa ba wataalamu wa mifugo.

Sauti kina.