Dodoma FM

Wanaume watakiwa kuwa mstari wa mbele kukomesha ukatili

3 December 2025, 5:03 pm

Ukatili wa kijinsia ninini.Picha na mtandao.Picha na mtandao.

Taswira ya Habari imefanya mazungumzo na mkuu wa dawati la jinsia na Watoto polisi wilaya ya Dodoma na hapa anaanza kwa kueleza ukatili wa kijinsia ninini.

Na Mariam Matundu.

Katika kuendelea kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia wanaume wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kukomesha vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa wanawake katika maeneo ya umma.

packeg.