Dodoma FM
Dodoma FM
25 November 2025, 3:53 pm

Pambano hilo linatarajiwa kuchezwa novemba 29 katika viwanja vya mambo Poa.
Mwandaaji wa pambano hilo Bw. Yuko Kiando ameeleza maandalizi ya pamabano hilo ambalo linatarajia kufanyika Novemba 29 huku tiketi zikipatikana barabara ya 11.
Nao baadhi ya mabondia wakapata nafasi ya kujinadi na kuwakaribisha watazamaji kujitokeza kwa wingi siku ya pambano hilo.