Dodoma FM
Dodoma FM
19 November 2025, 4:35 pm

Mashindano hayo yametamatika katika viwanja vya KDC Chang’ombe jijini Dodoma.
Mashindano ya Draft na bao la kiswahihi yametamatika katika viwanja vya KDC Chang’ombe huku timu mbalimbali zikiibuka na ushindi.
Akiongea na Taswira ya habari Anthony Kalago mratibu wa mashindano hayo ameeleza kuhusu washindi ambao wamepatikana katika mashindano hayo.